
Ndugu, majirani aliyempondaponda nyeti mtoto wa mkewe wafurahia hukumu
Morogoro. Siku moja baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro kumhukumu kifungo cha miaka 30 jela Mohamed Salange (37) kwa kosa la kumfanyia ukatili mtoto wake wa kufikia mwenye umri wa miaka tisa, baadhi ya wananchi na ndugu wa mkewe wamepongeza hatua hiyo. Hukumu ya Salange ambayo ilisomwa jana Alhamisi Mei 2, 2024 na Hakimu…