
Vita vya Gaza vyazidisha chuki dhidi ya Magharibi – DW – 03.05.2024
Mjadala huo katika nchi ya Malaysia uliibuliwa mwishoni mwa mwezi uliopita na Bruce Gilley, ambaye ni profesa wa Chuo Kikuu cha Portland huko Marekani. Profesa huyo alidai wakati wa kongamano katika mji mkuu wa Kuala Lumpur kwamba nchi hiyo ya Kusini-mashariki mwa Asia haiwezi kamwe kuwa rafiki wa kutumainiwa wa nchi za Magharibi kwa sababu…