
Sakata la Kibu kugomea mkataba udalali watajwa
Habari ya mjini kwa sasa ni kuhusu Kibu Denis ‘Mkandaji’. Ni kiungo mshambuliaji wa Simba anayemaliza mkataba wake kwa Wekundu wa Msimbazi hao na ameziingiza timu hizo kwenye vita kubwa na picha lake linatisha. Simba inataka kumwongezea mkataba. Yanga inataka kumhamishia kwa Wananchi. Ihefu nao wamemwambia aachane na timu za Kariakoo aendee akatulie mkoani na…