
Maoni ya Balozi Battle Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari – MWANAHARAKATI MZALENDO
Nafasi Muhimu ya Takwimu Huria Katika Kudumisha Uhuru wa Vyombo vya Habari na Kuthamini Ushirikiano kati ya Marekani na Tanzania Na Balozi Michael Battle, 2 Mei 2024 Toka mwaka 1993, kufuatia mapendekezo ya Mkutano Mkuu wa UNESCO, Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa Vyombo vya Habari imekuwa ikiadhimishwa kote duniani kila tarehe 3…