
Mateka wa Israel na Daktari wa Kipalestina wafariki – DW – 03.05.2024
Serikali ya Israel imefahamisha hivi leo kuwa mateka huyo ambaye ni sehemu ya wengine zaidi ya 130 wanaoshikiliwa na kundi la Hamas katika Ukanda wa Gaza amekufa kama makumi ya wengine waliotekwa nyara wakati wa shambulio la Oktoba 7. Serikali mjini Tel-Aviv imetoa taarifa hiyo jana jioni kwenye mtandao wao wa kijamii wa X (zamani…