
UNESCO yatoa tuzo yake ya uhuru wa vyombo vya habari duniani kwa waandishi wote wa habari wa Palestina
UNESCO siku ya Alhamisi ilitoa tuzo yake ya uhuru wa vyombo vya habari duniani kwa waandishi wote wa habari wa Palestina wanaoripoti vita vya Gaza, ambapo Israel imekuwa ikipambana na Hamas kwa zaidi ya miezi sita. “Katika nyakati hizi za giza na kutokuwa na matumaini, tunataka kushiriki ujumbe mzito wa mshikamano na utambuzi kwa waandishi…