
NAIBU WAZIRI PINDA AKABIDHI BAISKELI KWA WALEMAVU KAVUU
Na Munir Shemweta, MLELE Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Mbunge wa Jimbo la Kavuu katika halmashauri ya Mpimbwe mkoa wa Katavi Mhe, Geophrey Pinda amekabidhi baiskeli za walemavu wa miguu ikiwa ni jitihada za kuwasaidia watu wenye ulemau. Mhe, Pinda amekabidhi baiskali tarehe 2 Mei 2024 wakati wa mkutano wa…