
Matumizi ya Njia za Uzazi wa Mpango Yaongezeka Katika Zahanati ya Ubinga Kijiji cha Ubinga
MATUMIZI ya njia mbalimbali za uzazi wa mpango yameongezeka katika Zahanati ya Ubinga Kijiji cha Ubinga wilayani Nzega mkoani Tabora ambapo kwa wiki wanahudumia wahitaji 100 kutoka 40 kwa mwaka 2021. Wakati kukiwa na ongezeko hilo, mkakati wa serikali kupitia Wizara ya Afya katika matumizi ya uzazi wa mpango kwa mwaka 2019/2023 ulikuwa unakadiriwa kupunguza…