
Unakunywa pombe bila kula? tambua madhara yake haya hapa
Dar es Salaam. Kama wewe ni mnywaji wa pombe zinazotengenezwa kwa ngano au pombe kali, soma hapa kwa makini. Wataalamu wa afya wameeleza uwepo wa athari hasi kwa watu wenye tabia ya kunywa pombe kabla ya kula. Wanasema hiyo huchangia huchangia mnywaji huyo kula chakula kidogo kuliko mahitaji ya mwili na wakati huo huo huwa…