
Kitasa kung’oka Azam FC | Mwanaspoti
Beki wa kati wa Azam FC, Malickou Ndoye ameonyesha nia ya kuondoka ndani ya timu hiyo baada ya msimu huu kumalizika kutokana na kutokuwa na uhakika wa kucheza kwenye kikosi cha kwanza. Taarifa ambazo Mwanaspoti limezipata kutoka ndani ya timu hiyo zilieleza nyota huyo aliyekuwa nje ya uwanja tangu Oktoba mwaka jana kutokana na majeraha…