
Azam FC, Namungo mechi ya kisasi
MCHEZO mmoja wa kukamilisha hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho (FA) utapigwa leo kati ya wenyeji, Azam FC itakayoikaribisha Namungo kuanzia sasa 1:00 usiku, mechi itakayopigwa Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam. Mshindi wa mchezo huo ataenda kukutana na Coastal Union iliyoitoa Geita Gold kwa bao 1-0 katika hatua ya…