
MA-RC TENGENI MAENEO YA MAZOEZI – MAJALIWA
*Aeleza mkakati wa Serikali wa kutumia maji ya mvua WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa yote nchini waanze kufanya tathmini na kubainisha maeneo ambayo yatatumika kufanya mazoezi kila Jumamosi. “Natoa wito kwa Wakuu wa Mikoa waanze kufanya tathmini ya maeneo waliyonayo na kutenga maeneo ya kufanyia mazoezi. Siyo lazima wafunge barabara kama ilivyo…