
Wakazi 3000 kuelimishwa namna ya kupambana na wanyama wakali
ZAIDI ya wakazi 3000 waishio kwenye vijiji vya karibu na hifadhi ya Taifa ya Serengeti wanatarajiwa kupatiwa elimu ya namna ya kukabiliana na changamoto za Wanyama hususani Simba. Elimu ya kukabiliana na Simba pamoja na wanyama wengine wakali, inatolewa kupitia Filamu inayojulikana kama ‘Kuishi na Simba’ iliyotengenezwa na Msanii qa Filamu nchini, Erica Rugabandana. Filamu…