
Lusajo: Profesa shabiki wa Simba alinikazia nisijiunge Yanga
Mshambuliaji Reliants Lusajo anajipambanua kuandaa maisha baada ya kustaafu soka, jambo linalomfanya aipe elimu kipaumbele ili kumwezesha kufanya shughuli nyingine kwa urahisi. Katika mahojiano na Mwanaspoti, straika huyo ambaye anasema hupenda kuzurura pindi Ligi Kuu Bara inaposimama na siyo mtu anayepania kusoma isipokuwa ana akili za kuzaliwa akiamua kuweka mkazo katika kitabu, basi hakuna kinachoshindikana….