
ULEGA AWAFARIJI WAATHIRIKA WA MAFURIKO MKURANGA
Mbunge wa Jimbo la Mkuranga, ambaye pia ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amewatembelea na kuwafariji wananchi waliothiriwa na mafuriko katika Kata za Kisiju na Shungubweni, Wilayani Mkuranga, mkoani Pwani. Akitoa salamu za pole Mei 1, 2024, Mhe. Ulega amesema kuwa Mhe. Rais Samia amemtuma kuwafikishia wananchi hao salamu zake za pole…