
Wasusa kumzika marehemu wakidai ameuawa kishirikina
Njombe Wananchi wa mtaa wa Muungano halmashauri ya mji wa Makambako mkoani Njombe wamegomea kuuzika mwili wa kijana Elisha Nyalusi (35) wakidai kifo chake kimesababishwa na imani za kishirikina huku wakimtuhumu baba yake na kutaka arudishwe akiwa hai. Wananchi hao akiwemo Nickson Nywage,Eliud Mwenda na Salima Mangula wamesema wamegomea kuuzika mwili huo kutokana na vijana…