
Mghana aipeleka Coastal nusu fainali FA, yaisubiri Azam, Namungo FC
COASTAL Union imetinga nusu fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Geita Gold katika mchezo mkali uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga. Bao pekee la Coastal Union limefungwa dakika ya 23 na nyota Mghana, Dennis Modzaka aliyepeleka furaha ndani ya timu hiyo baada ya…