
Uingereza yathibitisha kuwazuia wahamiaji – DW – 01.05.2024
Haya yanajiri huku mmoja akiripotiwa kujipeleka kwa hiari Rwanda kutoka Uingereza. Kamata kamata ya wahamiaji inajiri wiki moja baada ya wabunge kumaliza mvutano uliokuwepo bungeni na kupitisha sheria hiyo baada ya kutangaza kuwa Rwanda ni nchi salama. Waziri Mkuu wa Uingereza Rishi Sunak, aliapa kuwazuia wahamiaji kuingia Ulaya kupitia njia za baharini, na wiki iliyopita…