
Waasi wa Kihouthi wajizolea umaarufu – DW – 01.05.2024
Hata hivyo, sera zake ziko mbali na utawala bora zikizidisha hali ya mbaya ya kibinadamu na mzozo wa kiuchumi nchini Yemen wakati ikiendeleza mashambulizi katika Bahari ya Shamu. Soma pia: Waasi wa Houthi wasema wanalenga meli za Magharibi katika bahari ya Shamu Baada ya utulivu wa mashambulizi kwa takriban wiki mbili, wanamgambo wa Houthi nchini Yemen…