
Mastaa Yanga wamshangaza Gamondi kambini
KOCHA wa Yanga Miguel Gamondi, amevunja ukimya kwa kusema namna anavyoshangazwa na maisha ya mastaa wa timu hiyo kambini kwa muda wa mwaka mmoja aliokaa na timu hiyo, huku akifichua nyakati ngumu anazokutana nazo pale timu uinapotoka sare au kupoteza mchezo. Gamondi aliyetua Yanga mwanzoni mwa msimu huu akimpokea Nasreddine Nabi aliyemaliza mkataba na kutimkia…