
MZEE WA UBISHI WA KALIUA: Aziz KI anabeba tuzo hizi bila ubishi
Hakuna kitu kibaya kwenye mpira wetu kama kutengeneza balansi. Kutengeneza ulinganifu. Kocha wa timu ya taifa ikiita wachezaji, kila mtu anaangalia ulinganifu wa wachezaji wa Simba na Yanga. Bodi ya Ligi na TFF kwenye tuzo zao nao wanapita mlemle. Ni mwendo wa kuhakikisha kunakuwa na usawa kwa wachezaji wa Simba na Yanga. Hili limepitwa na…