WAJASIRIAMALI WAFURAHISHWA NA HUDUMA ZA TBS KWENYE MAONESHO YA OSHA JIJINI ARUSHA
Na Mwandishi Wetu, Arusha WAZALISHAJI wakiwemo wajasiriamali na wananchi kwa ujumla wamefurahishwa na elimu ambayo imetolewa na maofisa wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) katika Maonesho ya Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) na wameahidi kutumia elimu hiyo kuleta matokea chanya ndani ya jamii. Hayo yalisemwa na baadhi ya wazalishaji, wajasiriamali na…