
Kituo cha uwekezaji kuzinduliwa Arusha, Julai
Arusha. Serikali inatarajia kuzindua Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) katika Mkoa wa Arusha kufikia Julai Mosi, 2024 ili kuondoa urasimu wanaokumbana nao wawekezaji. Kauli hiyo imetolewa leo Jumanne Apili 30, 2024 jijini Arusha na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo wakati akizungumza kwenye kongamanao la uwekezaji kwenye sekta ya…