
TMA YAPONGEZWA KWA KUIMARISHA UBORA NA USAHIHI WA TAARIFA ZA HALI YA HEWA
Na Mwandishi Wetu WAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), wamekutana kupitia kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa TMA kilichofanyika katika ukumbi wa NSSF, Morogoro leo, Aprili 30, 2024, kwa lengo la kufanya tathmini ya utendaji kazi wa Mamlaka kwa kuzingatia maazimio ya Baraza lililopita pamoja na kupitia bajeti ya mwaka 2024/2025. Baraza…