
MAAFISA TARAFA NA WATENDAJI WA KATA WAASWA KUBADILISHANA UZOEFU KATIKA KAZI ZAO
Na OR – TAMISEMI Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Martin Shigela amewataka Maafisa Tarafa na Watendaji wa Kata kubadilishana uzoefu wa kazi na changamoto wanazozipitia kwa kujua ni namna gani wanaweza kuzitatua kwa pamoja. Mhe. Shigela ameyasema hayo Aprili 28, 2024 wakati akifunga mafunzo ya kuwajengea uwezo Maafisa Tarafa na Watendaji wa Kata wa…