Mvua sio kikwazo tena DSM, Meridianbet yaja na mbinu mbadala kwa bodaboda

Mitaa iliitika mitaa ikaukubali mziki wa Magwiji wa Odds kubwa, Nyumba ya Mabingwa wa michezo ya ubashiri nakasino ya mtandaoni, ufalme wa washindi Meridianbet pale walipopita mitaa mbalimbali ya Jiji la Dar Es Salaam nakuwashika mkono wapambanaji wote. Watu wengi walijitokeza kuona ni nini Meridianbetwamewaletea na hapo ndipo tabasamu lilipofunguka mithili yajua la asubuhi linavyochomoza,…

Read More

Bashungwa awaondoa watendaji Kivuko cha Magogoni – Kigamboni

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewaondoa watendaji wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) wanaosimamia usafiri wa kivuko kati ya Magogoni – Kigamboni na kuagiza kupangiwa kazi nyingine kwa kushindwa kusimamia kikamilifu huduma kwa wananchi wanaotumia kivuko hicho. Walioondolewa ni Meneja wa Vivuko Kanda ya Mashariki na Kusini, Mhandisi Lukombe…

Read More

Muhas yahadharisha hofu magonjwa ya mlipuko

Dar es Salaam. Wakati kukiwa na minong’ono ya uwepo wa ugonjwa wa kipindupindu katika baadhi ya maeneo, Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dk Mohamed Mang’una amesema hakuna mgonjwa aliyethibitishwa kuugua maradhi hayo. Kwa upande mwingine, Mkurugenzi wa Huduma za Wanafunzi Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (Muhas), Profesa Tumaini Nyamhanga…

Read More

Simba ilistahili kubeba ndoo ya Muungano

SIMBA ndio mabingwa wapya wa michuano ya Kombe la Muungano, iliyoshirikisha timu nne zikiwamo Azam, KMKM na KVZ. Michuano hiyo ilifikia tamati rasmi juzi visiwani Zanzibar, kwa Simba kuifunga Azam kwa bao 1-0 katika pambano la fainali lililopigwa kwenye Uwanja wa New Amaan kwa bao la dakika ya 77 kutoka kwa kiungo mkabaji, Babacar Sarr….

Read More

EWURA YAPATA TUZO USIMAMIZI BORA MIRADI YA KIMKAKATI

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Mashaka Biteko (kushoto) akimpatia tuzo ya EWURA, Ofisa wa EWURA anayehusika na ushirikishwaji wa wazawa katika Miradi ya Mafuta na Gesi Asilia nchini, Bw. Joseph Mboma (wa pili kulia). Mchumi kutoka EWURA,Bw. Joseph Mboma,akiwa ameshika ngao na cheti kilichotolewa kwa Mamlaka ya Udhibiti wa…

Read More

Kukazia hukumu kwatajwa kikwazo utoaji haki

Dar es Salaam. Wabunge wametaka utaratibu wa kukazia hukumu mtu anaposhinda kesi uangaliwe upya kwa kupeleka muswada wa mabadiliko ya sheria bungeni. Wabunge Mashimba Ndaki wa Maswa Magharibi na Edward Ole Lekaita wa Kiteto wameitaka Serikali ibadilishe sheria ya kukazia hukumu wakisema ni mlolongo mrefu, badala yake mtu anaposhinda kesi akabidhiwe haki yake bila kuchelewa….

Read More

WAZIRI KAIRUKI AKUTANA NA RAIS WA APIMONDIA KAMISHENI YA AFRIKA

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Apimondia Kamisheni ya Afrika, Bw. David Mukomana kwa lengo la kujadili maandalizi ya mkutano wa 50 wa Dunia wa Ufugaji Nyuki (APIMONDIA) na kuweka mikakati ya kufanikisha mkutano huo utakaofanyika nchini mwaka 2027. Akizungumza katika kikao hicho, kilichofanyika leo…

Read More

Washukiwa wa ‘mapinduzi’ Ujerumani wafikishwa mahakamani – DW – 29.04.2024

Wanachama tisa wa kundi hilo linaloongozwa na mfanyabiashara na mwanamfalme, Heinrich XIII Reuss, waliwasili kwenye mahakama ya mji wa kusini magharibi mwa Ujerumani, Stuttgart, wakisindikizwa na maafisa wa usalama siku ya Jumatatu (Aprili 29). Miongoni mwa washitakiwa hao alikuwamo mwanajeshi mmoja wa kikosi maalum, mbunge mmoja wa zamani wa chama cha siasa kali za mrengo wa…

Read More