
JKT yavuta 20 milioni ikiizamisha Mtibwa
USHINDI wa mabao 2-1 ilioupata timu ya JKT Tanzania leo dhidi ya Mtibwa Sugar umewafanya mastaa wa timu hiyo kushinda bonasi ya Sh20 milioni kutoka kwa uongozi wa maafande hao huku ukiididimiza Mtibwa mkiani mwa msimamo. JKT ndiyo ilianza kupata bao katika dakika ya sita kupitia kwa beki Edson Katanga aliyefunga kwa kichwa kabla ya…