
Makocha hawa wapewa maua yao
LIGI ya Championship imefikia tamati jana kwa msimu wa 2023/2024 huku Kocha Mkuu wa Pamba, Mbwana Makata akiweka rekodi ya kipekee kwa kuipandisha timu hiyo Ligi Kuu Bara baada ya kusota kwa takribani miaka 23 tangu iliposhuka rasmi daraja. Makata licha ya kuweka rekodi hiyo pia amejitengenezea ufalme wa kupandisha timu nyingi Ligi Kuu Bara…