
Hamas yaashiria kuwa tayari kusitisha mapigano – DW – 29.04.2024
Ujumbe wa Hamas uliwasili mjini Kairo siku ya Jumatatu (Aprili 29), ambako ulitazamiwa kutoa majibu yake kwa pendekezo la hivi karibuni la Israel la makubaliano ya kusitisha mapigano kwenye Ukanda wa Gaza na kuachiliwa kwa mateka baada ya takribani miezi saba ya vita. Misri, Qatar na Marekani zimekuwa zikijaribu kuwa wapatanishi kati ya Israel na…