Benchikha na wenzake shida iko hapa

Baada ya aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha kuondoka jana, hatimaye timu hiyo sasa imebaki chini ya Juma Mgunda na Selemani Matola, lakini kuna maswali mengi ya kujiuliza ambayo yanatia shaka juu ya muenendo wa kikosi hicho. Tetesi za kuondoka kwa Benchikha zilianza kuzagaa kwa muda mrefu, huku mara chache uongozi wa timu hiyo…

Read More

Serikali yaeleza TCU inachofanya Zanzibar

Dodoma. Serikali imesema katika kipindi cha Juni, 2023 hadi Machi, 2024 Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imetoa mafunzo kwa viongozi na wahadhiri 48 kutoka vyuo vikuu vitatu vilivyopo Zanzibar. Mafunzo hayo yameelezwa yalijumuisha viongozi na wahadhiri kutoka vyuo vikuu na vyuo vikuu vishiriki 49 vilivyosajiliwa chini TCU. Hayo yameelezwa leo Jumatatu Aprili 29, 2024…

Read More

Mastaa hawa Simba ni mvua na jua

KUNA mastaa wapo Simba wameonja raha na karaha, wakati timu hiyo inachukua mataji manne mfululizo, walikuwepo na ilipokosa mataji kwa mara mbili mfululizo (2021/22 na 2022/23) bado wamo. Mwanaspoti linakuchambulia mastaa hao, ambao kwa sasa wanapitia kipindi kigumu wakati timu hiyo ikiwa imebakiza kuwania taji moja pekee la Ligi Kuu Bara. Ingawa hadi sasa Simba…

Read More

Bil 12.4 zimetumika ujenzi wa miradi wilaya ya Momba

MKUU wa wilaya ya Momba mkoani Songwe Kennan Kihongosi ame tumia sherehe za  siku ya Muungano wa Tanganyika kutaja mafanikio ya miaka mitatu ya Rais Dk. Samia Suruhu akisema alitoa Bilioni 124 zilizojenga miradi. Anaripoti Ibrahim Yassin, Songwe … (endelea).  Amesema serikali ya awamu ya sita inafanya kazi kubwa ya kuwa ondolea wananchi changamoto zinazowakumba…

Read More

Mastaa Yanga kama ulaya | Mwanaspoti

KWA wachezaji nyota wa soka katika baadhi ya klabu barani Ulaya sio ajabu kukuta wakivaa soksi na hata viatu vikiwa na majina au sura zao mbali na bendera za mataifa watokapo kama kuwatofautisha na wengine. Cristiano Ronaldo ‘CR7’, Lionel Messi, Neymar  na hata Kylian Mbappe wamekuwa wakivaa viatu maalumu na hata soksi zikiwatofautisha na wengine…

Read More