
Simulizi ya mwanafunzi mchoraji mwenye uoni hafifu
Bukoba. “Nilianza kuchora picha ya chupa ya maji, baadaye nilichora picha ya baba yangu mzazi, kwa sasa nimechora picha ya mbunge wangu, na picha hii ni zawadi kwake. Natamani kusoma chuo Korea na China ili kuendeleza kipaji changu na kuinua familia yangu yenye uhitaji mkubwa.” Hayo ni maneno ya Julieth Richard (19), msichana mwenye uoni…