
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mengi, makubwa ya mfano, tumuunge mkono kwa vitendo – DC LULLANDALA
Na Mary Margwe, SIMANJIRO. Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara Fakii Raphael Lulandala amesema katika kipindi Cha Serikali ya awamu ya sita, chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imefanya shughuli nyingi na kubwa na kuiletea Tanzania Mafanikio makubwa ya Maendeleo katika Sekta karibia zote. Akizungumza juzi kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara…