
Mgunda azungumzia ishu ya kumrithi Benchikha
WAKATI Juma Mgunda akihusishwa na mipango ya kurudi kuifundisha Simba kutokana na kuondoka kwa Abdelhak Benchikha, kocha huyo maarufu kama ‘Guardiola Mnene’ amesema hata yeye anasikia tu kuhusu jambo hilo, lakini kama lipo kweli yeye atakuwa tayari kufanya kazi. Simba inatarajiwa kutangaza kuachana rasmi na kocha Mbelgiji mwenye asili ya Algeria, Abdelhak Benchikha, ambaye taarifa…