Majaliwa: Chunguzeni watoto wenye usonji mapema

Dar es Salaam. Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Afya kuongeza vituo vya huduma za uchunguzi na utambuzi wa mapema wa ugonjwa wa usonji na matatizo mengine yanayoweza kubainika, watoto wanapohudhuria kliniki kila mwezi. Wakati kati ya watoto 160 mmoja ana usonji, takwimu za kwenye vituo vya huduma za afya na shuleni…

Read More

Mtanzania kusaka rekodi kisiwa cha Greenland

Moshi. Kijana mmoja mkazi wa Moshi mkoani Kilimanjaro, Wilfredy Moshi anayekwenda kuiwakilisha Tanzania nchini Denmark kwenye mashindao ya kutembea na kuteleza kwenye barafu katika kisiwa cha Greenland, huenda akawa Mtanzania na Mwafrika wa kwanza kufika katika kisiwa hicho. Asilimia 80 ya kisiwa cha Greenland ambacho ni kikubwa zaidi duniani na chenye watu 56,000, imefunikwa na…

Read More

Lala salama Championship ya jasho na damu

Ni fursa nzuri kwa Pamba kumaliza unyonge wa miaka 22 wa kukaa bila kushiriki Ligi Kuu itakapokabiliana na Mbuni FC kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha kuanzia saa 10 jioni, leo. Ushindi katika mechi hiyo utaifanya Pamba ambayo mara ya mwisho kushiriki Ligi Kuu 2002, kuchukua nafasi moja iliyobaki katika Ligi ya Championship…

Read More

SLOTI YA BOOK OF ESKIMO USHINDI KUGUSA TU

KUPANGA ni kuchagua, chagua kuwa mshindi kila siku kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, kila siku kuna bonasi kibasi na michezo sana usipange kukosa bahati hii. Kupitia sloti mpya ya Book of Eskimo unaweza kushinda kirahisi swali ni je unashindaje shindaje? Jisajili Meridianbet na fuata maelekezo haya. Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakurejesha kwenye simulizi…

Read More

Mastraika Taifa Stars wanahitaji maombi

Wakati zikibaki siku 44 kabla ya mchezo wa kuwania kufuzu fainali za Kombe la Dunia dhidi ya Zambia kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, mwenendo wa wachezaji wa safu ya ushambuliaji ambao wamekuwa wakitegemewa na timu ya taifa ‘Taifa Stars’ umeanza kuleta hofu. Idadi kubwa ya wachezaji hao wameonyesha kupoteza makali ya kufumania nyavu katika klabu…

Read More

Kenya,Tanzania na Burundi zakumbwa na mafuriko mabaya zaidi – DW – 28.04.2024

Watu 76 wamepoteza maisha nchini Kenya kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa za masika zilizoanza kunyesha tangu mwezi Machi. Serikali nchini humo imetoa tahadhari kwa wananchi kujiandaa  kwa mvua kubwa zaidi. Mafuriko yasababisha adha kwa wananchi KenyaPicha: REUTERS Msemaji wa serikali ya Kenya Isaac Mwaura alisema, barabara na vitongoji vimefurika maji na zaidi ya…

Read More

Kocha wa Fei Toto afariki dunia

KOCHA wa zamani wa Feisal Salum ‘Fei Toto’, Salum Khatib amefariki dunia baada ya kugongwa na gari akitokea mazoezini kuinoa timu ya JKU SC na anatarajiwa kuzikwa mchana wa leo katika makaburi ya Mwanakwerekwe, Zanzibar. Khatib enzi za uhai wake akiwa kocha wa timu JKU, alimfundisha kiungo wa sasa wa Azam FC, Fei Toto na…

Read More