
PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO APRILI 28,2024
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO APRILI 28,2024 About the author
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO APRILI 28,2024 About the author
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam April 28, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania. The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo April 28, 2024 first appeared on Millard Ayo.
BAADA ya kufunga bao pekee katika mchezo wa fainali ya Kombe la Muungano, kiungo wa Simba Babacar Sarr ameiwezesha timu hiyo kuvuna kitita cha Sh50 milioni ambayo ni zawadi ya mshindi ya bingwa. Sarr alifunga bao hilo kwa kichwa katika dakika ya 77 akiunganisha mpira wa faulo uliopigwa ikiwa ni matokeo ya madhambi yaliyofanywa na…
Mbeya. Serikali imeombwa kuweka mkazo kwa shule zote za sekondari nchini, zifundishe pia masomo ya ufundi na ujasiriamali, kwa lengo la kumuandaa mhitimu kujiajiri badala ya kusubiri kuajiriwa. Imeelezwa kwa kufanya hivyo, kutasaidia kuondoa dhana ya wengi kuwa mtu anasoma ili aje kuajiriwa. Hayo yamesemwa leo Jumamosi Aprili 27, 2024 na Mkuu wa Shule ya…
Dar es Salaam. “Sijui nimemkosea nini Mungu, amenipa adhabu kali inayoacha alama isiyofutika katika maisha yangu.” Haya ni maneno ya Mariamu Julius, aliyoitoa wakati akisimulia jinsi ajali ya ukuta wa nyumba ya jirani ulivyodondokea kwenye nyumba yake na kuchukua uhai wa watoto wake wanne. Amesema kama Mungu angempa kipawa cha kutabiri ajali hiyo kutokea au…
Rais wa Somalia Mheshimiwa Hassan Sheikh Mohamud amesema nchi yake imeamua kushirikiana kwa karibu na Bohari ya Dawa ya Tanzania katika ununuzi wa bidhaa za afya na kubadilishana uzoefu wa namna mnyororo wa ugavi wa bidhaa za afya unavyofanya kazi. Rais Mahamud ambaye yuko ziarani nchini Tanzania, ameyasema hayo alipoitembelea MSD, na kuongeza kuwa kutokana…
Dar es Salaam. “Sijui nimemkosea nini Mungu, amenipa adhabu kali inayoacha alama isiyofutika katika maisha yangu.” Haya ni maneno ya Mariamu Julius, aliyoitoa wakati akisimulia jinsi ajali ya ukuta wa nyumba ya jirani ulivyodondokea kwenye nyumba yake na kuchukua uhai wa watoto wake wanne. Amesema kama Mungu angempa kipawa cha kutabiri ajali hiyo kutokea au…
Rais wa Somalia Mheshimiwa Dkt. Hassan Sheikh Mohamud akitazama chumba cha upasuaji kilichowekwa mtambo wa matibabu ya moyo ‘Cathlab’ katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar Es Salaam leo Aprili 27, 2024. Rais H.S Mohamud amepokelewa na Waziri wa Afya Mhe. Ummy mwalimu pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Dkt. Peter Kisenge….
BAO pekee la mshambuliaji, Joseph Guede la dakika ya 76 limetosha kuipa Yanga pointi tatu muhimu dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, jijini Dar es Salaam. Guede anayefikisha jumla ya mabao manne ya Ligi Kuu Bara akiwa na kikosi hicho, ameifanya Yanga kufikisha pointi…
Dar es Salaam. Wakati Jeshi la Polisi nchini Tanzania likiwataka watu wenye taarifa tofauti juu ya kifo cha Noel Mwingira, maarufu Zuchy wazipeleke zifanyiwe kazi, John Msabaha, mdogo wa marehemu amesema ndugu yake amefariki dunia akiwa mbioni kufungua kampuni inayojishughulisha na masUala ya vipodozi. Zuchy alifariki dunia alfajiri ya jana Ijumaa Aprili 26, 2024, eneo…