
CRDB Bank kuwawezesha wanachama wa TAPEI kuboresha elimu katika shule binafsi
Dar es Salaam. Tarehe 27 Aprili 2024: Katika kuunga mkono juhudi za kuboresha elimu nchini, Benki ya CRDB imeasaini mkataba wa ushirikiano na Chama cha Wawekezaji katika Elimu Tanzania (TAPIE) utakaowawezesha wanachama wake kupata mikopo nafuu ya kuboresha miundombinu na kuwezesha uendeshaji wakati wote. Mkataba huo umesainiwa tarehe 27 Aprili 2024 kwenye mkutano mkuu wa…