
MAMBA WATISHIA USALAMA WA WANANCHI WA KATA YA RUVU.
NA WILLIUM PAUL, SAME. MKUU wa wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, Kasilda Mgeni amewataka wananchi wa kata ya Ruvu kuwa makini na maji yanayotapakaa katika maeneo hayo kutoka mto Ruvu kutokana na maji hayo kuja na mamba ambao wanaweza kuleta madhara kwao. Mkuu huyo wa wilaya pia amewaagiza Tarura kufika katika kata hiyo na kuona…