
Championship mwuisho wa ubishi ni kesho
Pazia la Ligi ya Championship msimu huu linafungwa kesho Jumapili huku utamu utakuwa jijini Arusha wakati Pamba itakaposaka nafasi ya kuzika mzimu ulioitesa kwa zaidi ya miaka 20 kutopanda Ligi Kuu. Ligi hiyo iliyoanza Septemba 9 ikishirikisha timu 16 inafika tamati huku Ken Gold ikiwa imepanda Ligi Kuu na pointi 67 ikiwa na mechi moja,…