
Mbowe asisitiza muungano wa Serikali tatu
Musoma/Dar. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema licha ya muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar kutimiza miaka 60, bado unahitaji maboresho, akipendekeza muundo wa Serikali tatu ikiwamo ya Tanganyika. Mbowe ameyasema hayo jana Aprili 26, 2024 kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Musoma mkoani Mara, akisisitiza msimamo wa chama chake wa kuunga mkono uwepo wa…