
SAKATA LA DKT KAWAMBWA: DIWANI MSTAAFU WEMBE, ASKARI MGAMBO MIKONONI MWA POLISI
JESHI la Polisi Mkoani Pwani limewtia mbaroni Diwani wa kata ya Kiromo Mstaafu Hassan Wembe na Askari Mgambo Abdallah Mgeni na baadae kupewa dhamana, kwa kosa la kumshambulia kwa maneno makali, vitisho, dharau na kutishiwa kufungwa pingu Waziri na Mbunge Mstaafu Dkt Shukuru Kawambwa pamoja na Cathbert Enock Madondola huko Kitopeni, wilayani Bagamoyo. Aidha watuhumiwa…