
ACT-Wazalendo kuunguruma K’njaro, Mwigamba akumbushia mapito ya kukisajili
Dar es Salaam. Chama cha ACT-Wazalendo, kesho Jumamosi Aprili 27, 2024 kitafanya mkutano wake wa kidemokrasia kujadili mwenendo wa demokrasia na uelekeo wa chama hicho, katika uchaguzi wa serikali za mita, vijiji na vitongoji. Mkutano wa kidemokrasia ambao upo kikatiba katika chama hicho utakuwa wa sita tangu kuanzishwa kwa ACT-Wazalendo mwaka 2014. Kwa sasa ACT-Wazalendo…