
NIONAVYO: Soka la kununua bila kuuza halina tija
SHIRIKISHO la Soka Ulaya (UEFA) lina sheria na taratibu za kuhakikisha kuna nidhamu ya mapato na matumizi miongoni mwa nchi wanachama wake ikiwa ni pamoja na klabu. Lengo la utaratibu huu siyo tu kuondoa ‘fedha chafu’ kwenye soka, pia kuhakikisha kuna utamaduni unaofanana katika matumizi ya fedha bila kujali klabu kubwa na ndogo. Katika utaratibu…