
Huku Fei Toto, kule Chama Kombe la Muungano
KUTOKANA na ubora wa viungo waliopo Azam FC na Simba, huenda mechi ya fainali ya Kombe la Muungano ikaamuliwa na wachezaji wa nafasi hizo, wakati timu hizo zitakapokutana Jumamosi hii kuanzia saa 2:15 usiku kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Azam FC inashiriki kwa mara ya kwanza michuano hiyo iliyokuwa imesimama kwa takribani miaka 20, tofauti…