
Fundi atelekeza mradi na bweni wilayani Bukombe mkoani Geita
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoa wa Geita Imebaini kucheleweshwa kwa ujenzi wa mradi wa Mabweni 03 katika shule ya Sekondari Bukombe yenye thamani ya Shilingi Milioni 390. Hayo yamebainishwa na Kaimu Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Geita , Azza Mtaita wakati akiwasilisha kwa wandishi ripoti ya robo ya mwaka ambapo amesema…