
TAKUKURU wakamata watumishi wa serikali kwa tuhuma za kuomba rushwa ‘tutaendelea kukamata”
Wakurugenzi wa halmashauri wametakiwa kuchukua hatua kali za kisheria kwa wale wanaohusika kukwamisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo mkoani Njombe. Kauli hiyo imetolewa April 25,2024 na kamanda wa Takukuru mkoa wa Njombe Kassim Ephrem wakati akizungumza na waandishi wa habari mkoani humo. Amesema mkurugenzi anapelekewa ripoti ya mradi uliotembelewa na Takukuru na kubaini mapungufu wanategemea…