
GGML, OSHA WAWANOA MAMA LISHE ARUSHA KUKABILIANA NA MAJANGA YA MOTO
Na Mwandishi Wetu, Arusha KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kushirikiana na Wakala wa Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA), imetoa mafunzo maalumu kwa akina mama lishe 50 wa mkoa wa Arusha kwa lengo la kuwaelimisha namna ya kukabiliana na majanga mbalimbali ya moto.Mbali na mafunzo hayo, pia GGML imewagawia mitungi 50…