
Fei asaka rekodi za Bocco, Kipre Tcheche
BAADA ya kiungo wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ kuyafikia mabao 14 aliyofunga, Prince Dube msimu wa 2020/21, amebakiwa na mitihani miwili ndani ya kikosi hicho. Fei Toto ambaye huu ni msimu wake wa kwanza kucheza Azam, ndiye kinara wa mabao (14) kwa chama hilo, pia ametoa asisti sita, ingawa anayeongoza kwa asisti ni…