
Ushirikiano wa Benki ya Stanbic na Ramani waenda kuboresha sekta ya biashara nchini.
Na Mwandishi wetu Benki ya Stanbic Tanzania na Kampuni ya Ramani zaingia ushirikiano wenye lengo la kimkakati la kuleta mabadiliko katika sekta ya biashara na kuendeleza upatikanaji wa huduma Bora za kifedha hapa nchini. Akizungumza na waandishi mapema hivi karibuni Mkuu wa Kitengo cha biashara wa benki ya Stanbic Tanzania Fredrick Max katika hafla fupi…