
Meya wa zamani Jacob, Malisa waripoti Polisi Oysterbay, watakiwa kwa Muliro
Dar es Salaam. Meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob na mwanaharakati Godlisen Malisa wameripoti Kituo cha Polisi Oysterbay, ambako Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni amewapeleka ofisi za Kanda Maalumu ya Dar es Salaam. Jacob na Malisa jana Aprili 24, 2024 walipokea wito wa kuhitajika Kituo cha Oysterbay ikiwa ni utekelezaji wa agizo…