
Tathmini kufanyika mikopo ya halmashauri itolewe kwa mtu mmoja mmoja
Dodoma. Serikali imesema itafanya tathmini na ikibidi mapitio ya sheria ya mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na halmashauri nchini kupitia mapato yake ya ndani ili kuwawezesha vijana na wanawake kupata mikopo kwa mtu mmoja mmoja badala ya kupitia kwenye viukundi. Kauli hiyo imetolewa leo Alhamisi Aprili 25, 2024 bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa…